Facebook Instagram Twitter
  • Home
  • About us
  • Membership
  • Stories
  • Events
  • Multimedia
  • Publications
  • Contact us
Menu
  • Home
  • About us
  • Membership
  • Stories
  • Events
  • Multimedia
  • Publications
  • Contact us
Wataalamu toka Halmashauri sita wapatiwa mafunzo ya mfumo rahisi wa upimaji ardhi.

Wataalamu toka Halmashauri sita wapatiwa mafunzo ya mfumo rahisi wa upimaji ardhi.

by pelum_admin | Jun 30, 2018 | Stories

  Wataalamu 16 toka Halmashauri za Wilaya ya Morogoro, Mvomero, Bahi, Kongwa, Kilolo na Mufindi walio chini ya Idara ya Ardhi, maliasili na mazingira wamejengewa uwezo juu  ya utumiaji wa mfumo mpya na rahisi wa upimaji ardhi unaofahamika kwa jina la MAST (Mobile...
Wadau wa Kilimo waishauri Serikali kutambua mfumo usio rasmi wa mbegu

Wadau wa Kilimo waishauri Serikali kutambua mfumo usio rasmi wa mbegu

by pelum_admin | Jun 30, 2018 | Stories

Wadau wa kilimo Mkoani Morogoro wameishauri Serikali kutambua mfumo usio rasmi wa mbegu ili kuendelea  kutunza mbegu za asili kwani inasadikiwa kuwa mfumo huu unachagia zaidi ya asilimia 70 ya mbegu nchini. Akiwasilisha mada juu ya mfumo wa mbegu unaosimamiwa na...
Serikali Wilayani Ileje yatambua mchango wa wakulima wazalishaji mbegu

Serikali Wilayani Ileje yatambua mchango wa wakulima wazalishaji mbegu

by pelum_admin | Jun 30, 2018 | Stories

Serikali wilayani Ileje imetambua mchango na jitihada zinazofanywa na wakulima wadogo toka vikundi vya amkeni Msiha na sogea ntembo kwa kuzalisha mbegu ya mahindi ya daraja la kuzimiwa ubora (QDS) aina ya situka ambayo kwa sasa zimeanza kutumiwa na wakulima wengi toka...
Hatimiliki za kimila 747 zatolowa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

Hatimiliki za kimila 747 zatolowa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

by pelum_admin | Jun 30, 2018 | Stories

  Shirika la PELUM Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imeanza zoezi la kutoa hatimiliki za kimila zipatazo 747 kwa wananchi wa vijiji vitano ambao wamefanyiwa mpango wa chini ya matumizi ya ardhi kupitia mradi wa ushiriki wa wananchi katika...
Halmashauri Mufindi yapitisha Mpango wa Matumizi ya Ardhi

Halmashauri Mufindi yapitisha Mpango wa Matumizi ya Ardhi

by pelum_admin | Jun 30, 2018 | Stories

Halmashauri Mufindi yapitisha Mpango wa Matumizi ya Ardhi Halmashauri ya Mufindi Mkoni Iringa imepitisha Mpango wa Matumizi ya Ardhi kwa vijiji vinne vinavyofanyiwa Mpango huo na Shirika la PELUM Tanzania kwa kushirikiana na shirika wanachama la TAGRODE kupitia mradi...

© Copyright 2018 PELUM Tanzania. All Rights Reserved.